Na mwandishi wetu
Waimbaji wa kwaya toka Mikocheni,Ilala,Kimara na Ubungo wameshiriki siku ya tarehe 1 February 2015 katika mazoezi ya kuimba kwaya ya pamoja "Mass choir" kwa nyimbo kama Haleluya kuu na nyinginezo katika tukio linaloanza hapo kesho katika uwanja wa taifa jijini Dar Es Salaam.
Mazoezi haya yamefanyika chini ya walimu mbalimbali toka kwaya hizo na yakifanyika katika viwanja vya kanisa la Ilala sda.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:
Post a Comment