Tuesday, February 03, 2015

Tukio la kipekee la sherehe za utume linaanza hapo kesho na hivi ndivyo maandalizi ya mwisho kabisa na hapa vijana toka shule za kanisa la waadventista wasabato katika mikoa ya Tanzania na vijana wa master guide mafunzoni,watafta njia na baadhi ya vijana toka makanisa mbalimbali wamekuja kufanya gwaride na nyimbo mbalimbali kwa ajili ya siku kuu ya kesho kukitarajiwa kuwa na ugeni mkubwa toka G.C ambapo Rais wa kanisa la waadventista wasabato duniani Ted Wilson toka malekani atakuwepo.
Baada ya tukio hilo Kiongozi toka Division Mchungaji Mulumba ametoa ushauri na nasaa juu ya idara ya vijana mapema leo ndani ya kanisa la Mwenge sda huku akisema vijana wanatakiwa kukubali wito wa kufanya kazi za kanisa au kukubali uongozi ndani ya kanisa.









****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA