Wednesday, February 25, 2015

Makamu wa Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato Duniani Mch Geofrey Gabriel Mbwana yuko Mombasa nchini Kenya akiendesha mkutano wa injili unaoendesha na Kanisa hilo mjini humo wenye kauli mbiu ya Amani na Tumaini. Mbwana ambaye alimaliza mkutano mwingine ambao ulikuwa ukirushwa moja kwa moja na Morning Star Televisheni nchini Tanzania anashirikiana n

Copy and WIN : http://bit.ly/copynw
Waimbaji wa Glorious toka Kampala Uganda walipokuwa wakiimba katika mkutano wa "Amani na Tumaini mjini Mombasa"
Waimbaji wa Glorious toka Kampala Uganda walipokuwa wakiimba katika mkutano wa "Amani na Tumaini mjini Mombasa"
Makamu wa mwenyekiti wa kanisa la wasabato Duniani,Mchungaji Geoffrey Mbwana akisema jambo katika mahubiri ya Amani na Tumaini mjini Mombasa

Makamu wa mwenyekiti wa kanisa la wasabato Duniani,Mchungaji Geoffrey Mbwana akisema jambo katika mahubiri ya Amani na Tumaini mjini Mombasa
Makamu wa Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato Duniani Mch Geofrey Gabriel Mbwana yuko Mombasa nchini Kenya akiendesha mkutano wa injili unaoendesha na Kanisa hilo mjini humo wenye kauli mbiu ya Amani na Tumaini. Mbwana ambaye alimaliza mkutano mwingine ambao ulikuwa ukirushwa moja kwa moja na Morning Star Televisheni nchini Tanzania anashirikiana na waimbaji mbalimbali nchini Kenya wakiwemo Glorious Singers.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA