Baadhi ya viongozi wa dini ya Kiislamu pamoja na wale wa kanisa la
Seventh Day Adventist walifanya maombi ya pamoja ambapo viongozi wa dini
zote mbili waliwahubiria waumini kwenye jukwaa moja kwa dhamira ya
kukuza udugu na kutafuta amani.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:
Post a Comment