Hatimaye safari ya Mwimbaji wa Shinyanga Adventist Choir
Magreth Masatu imekamilika salama huko Bunda Saragana,ambapo amelala
hadi hapo asubuhi njema'Mume wake Mtinga Masatu,na watoto wake Masatu na
Jullu,Mungu pekee azidi kuwafariji'amina,
PICHA/HABARI NA shinyangasda choir on facecook
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
PICHA/HABARI NA shinyangasda choir on facecook
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Nilikuwa sijawahi kujua kwamba msiba wa mam yangu unakumbukumbu mpka kwenye mitandao leo katika pitapita zangu ndo nimeona hii post kwenye blog yenu, ninawashukur san Mungu awaariki.
ReplyDelete