 |
| Naibu Waziri wa Maji ,Amos Makala
akitembelea eneo la mradi mkubwa wa Maji unaojengwa katika kijiji cha
Kirya wilayani Mwanga. |
 |
Naibu waziri wa Maji Amosi Makala
akizungumza jambo na meneja mshauri wa mradi Sharif Saleh mara baada
ya kukagua mitambo maalumu kwa ajili ya maandalizi ya ujenzi wa mradi
huo. |
|
| Naibu waziri wa Maji Amosi Makala akifurahia
jambo na meneja mshauri wa mradi mkubwa wa maji wa Mwanga Korogwe
Sharif Salehmara baada ya kuangalia maadalizi ya ujenzi wa mradi
huo. |
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment