Friday, March 06, 2015

Mauaji ya Albino yanasababishwa na kukiithiri kwa imani potofu, ya kishirikina kwamba kwa kuua mtu, eti anatajirika au kuondolewa nuksi na kupata bahati au ngekewa. Tuungane pamoja kuufichua huu matandao na kuutokomeza. WOTE TUSEME HAPANA INAWEZEKANA.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA