Kazi kwako iko kwa simu yako ya kisasa na tabiti zinazotumia program endeshi ya Android , program tumishi ya MorningStarTV inaitwa Hope Tanzania imetengenezwa na kijana mtanzania anayesoma Chuo Kikuu hapa Tanzania.Safi sana
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment