![]() |
| Ushirikiano wakiusalama ulianza 1993 |
PLO imesema kamati yake kuu itakutana kutekeleza uamuzi huo uliochukuliwa katika mkutano wa baraza kuu katika mji wa Westbank Ramallah.
![]() |
| Mamlaka ya kipalestina Palestine Liberation Organisation imekomesha ushirika wake wa usalama na Israel. |
![]() |
| Hii inamaanisha kuwa ujasusi dhidi ya makundi ya waislamu wenye msimamo mkali haitakuwepo tena |
Kutotumwa kwa kodi hiyo ambayo huchangia pakubwa kwa pato la taifa kumewapelekea wafanyikazi wa sekta ya uma katika eneo la Palestina kukosa mishahara
Israeli haijatoa taarifa yeyote kufuatia kauli hiyo ya mamlaka ya kipalestina






0 comments:
Post a Comment