Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Mpya wa
Namibia Dkt.Hage Geingob wakati wa sherehe za kuapishwa kwake
zilizofanyika katika Uwanja wa michezo wa Uhuru wa Namibia jijini
Windhoek leo.Sherehe za kumuapisha Rais huyo wa tatu wa Namibia
ziligongana na maadhimisho ya miaka 25 ya uhuru wa nchi hiyo.(picha na
Freddy Maro)
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment