Sunday, March 22, 2015

Siku ya hii vijana wa kanisa la Waadventista Wasabato Nyansincha Tarime walifanya matendo ya huruma kwa kutoa mahitaji kwa watu waishio kwenye mazingira magumu.
Vijana hao waliongozwa na mzee wa kanisa la Nyansicha Musaa Museti,walipata kugawa vyakula,sabuni na pesa taslimu..
   PICHA/HABARI NA MASERO TARIME








****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA