Baadhi ya Picha za Matukio ya Sabato ya leo Tar 21 march 2015., Wakati Vijana wa Kanisa La Wa Adventista Wasabato Mtaa wa Makororasda Church
waliposhiriki katika siku maalum ya Matendo ya Huruma Ulimwenguni......!
Walitembelea vituo viwili vya wahitaji kikiwemo {Jela/Mahabusu ya watoto na kituo cha kulea wazee wasiojiweza} Huko walitoa vitu mbalimbali vya kusaidia mfano chakula na Nguo......!
Kisha mwisho walihitimisha kwa kuungana na vijana wenzao wa mtaa wa Kana katika zoezi la kuchangia Damu.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:
Post a Comment