Maelfu ya watu wakiandamana jijini Tel Aviv Israel |
Washirika wa maandamano hayo walikuwa wanaunga mkono vyama tofauti vya kisiasa vya Israel huku wakiwa wamebeba mabango yalikuwa na maandishi ya ‘Israel inataka mabadiliko’.
Mkurugenzi wa zamani wa Huduma ya Upelelezi
ya MOSSAD alibainisha katika kipindi kimojawapo cha tevevisheni ya
kwamba Netanyahu alikuwa ameongeza chumvi katika taarifa zake zinazohusiana na hali na hatari zilizoko nchini Iraq.
Mkurugenzi huyo pia alitoa hotuba katika maandamano yaliyotokea mjını Tel Aviv.
0 comments:
Post a Comment