|
Kikosi cha kutuliza ghasia kikijipanga kupambana na waandamanaji |
|
Waandamanaji wakijaribu kuwashambulia polisi kwa mawe |
|
Waandamanaji wakitawanywa |
|
Wakiwa na jazba baada ya maamuzi ya raisi kutangaza awamu ya tatu ya uongozi |
|
Rais tayari ameshatawala awamu mbili, na anataka nyingine ya tatu |
Rais wa Burundi Pierre
Peter Nkurunzinza amekataa kuachia madaraka rasmi kuelekea uchaguzi mkuu
na kudai kuendelea na awamu nyingine ya tatu ambayo ni kinyume na
katiba ya nchi hiyo, Hali hyo imepelekea
machafuko ya ghafla na mauaji ya kutisha. Na kusababisha watu kujifungia
manyumbani na barabara kuu kufungwa!
Watu wawili wameripotiwa kuuawa
baada ya kupigwa risasi na maafisa wa polisi kufuatia ghasia kati ya
polisi na waandamanaji katika mji mkuu wa Bujumbura nchini Burundi.
Waandamanaji
wameishtumu serikali kwa kufanya mapinduzi ya kikatiba baada ya uteuzi
wa rais Pierre Nkurunziza kupigania muhula wa tatu. Picha na BBC
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment