Mbunge wa zamani katika bunge la
Afrika mashariki Francois Bizimana ameripotiwa kutekwa nyara siku ya
jumapili mjini Bujumbura na watu wanaoshukiwa kuwa na uhusiano na
serikali.
Bizimana ni miongoni mwa viongozi wa upinzani nchini Burundi ambao wanampinga rais Pierre Nkurunziza.
Mwandishi
wa BBC Robert Kiptoo anasema kuwa vyombo vya habari vinaripoti kuwa
kiongozi huyo wa upinzani alitekwa na watu waliojihami.
Washirika wake pia wamekamatwa. Taarifa na BBC
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment