Mchakato
wa Tuzo ya Uimbaji wenye Utukiufu, inayeonedeshwa na MSTV kwa udhamini
wa JCB studios, TING HD Decoder na Hometown Records kwa kushirikiana na
Idara za Muziki Vijana na za SEC na ECT Linaanza tarehe 12 April,
2015. Zoezi hili litakamilika kwa kanda ya Dar Es Salaam Tarehe 10 May
2015. Watazamaji wataweza pia kuchagua waimbaji kupitia 15678 kwa kutuma
ujumbe mfupi kwa mshiriki wanayempenda, lakini pia kupitia Facebook na
Youtube . Zoezi la tuzo hizi litarushwa katika kipindi cha tuimbe pamoja
kinachorushwa na MSTV lakini pia katika Agape TV. Watazamaji pia wateweza kujishindia zawadi mbali mbali kwa kujibu Swali litakalokuwa linaulizwa kila wakati wa kipindi
Tuesday, April 14, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment