Tuesday, April 14, 2015

Samwel Mwazini: Habari rafiki, naitwa samwel Mwazini. Ni muimbaji wa kujitegemea (solo artist). Kwasasa ninashiriki katika tuzo zinazotolewa na morning star TV za groove morning star awards. Ninaomba ushiriki nami kuniweka katika mazingira ya ya ushindi kwa kunipigia kura. Andika MKM5 Then tuma kwenda 15678 ili kunipigia kura. Gharama za kawaida za sms zitatozwa. Asante kwa ushirikiano wako. Mungu akubarikiKura ni kuanzia Jumanne hadi ijumaa
Habari wapendwa. Usikose kutupigia kura, katika Glorious Music Awards, kupitia Morning Star TV tuma ujumbe usemao;"KCM4" kwenda 15678.Piga kura sasa kwa wingi kadri uwezavyo.Mungu akubariki
Ndugu zangu tuungane pamoja kuwapigia kura vi jana wetu new j brothers katika tuzo hizi za mzikii wa acappella IlI kuwa tia moyo katika kazi nzuri waifanyayo!! KutumA kura yako ingia katika sehemu ya ku andika ujumbe mfupi kisha andika neno KCM3 kisha tuma kwenda 15678 Barikiwa unapo fanya ku saport kazi ya Mungu.


0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA