| The Heros kutoka Tabata Kimanga wakiimba kwenye uzinduzi huo |
| Vijana kutoka kanisa la Chan'gombe wakiimba katika uzinduzi hu |
| Vijana kutoka katika kanisa la Tabata wakiimba katika uzinduzi wa albamu ya kwanza |
| Angel Magoti akiwa anaiimba katika uzinduzi wa albamu hiyo |
| Vijana kimanga wakiimba wimbo yuliobeba albamu mcheni Mungu na Kumtukuza |
| Mgeni Rasmi ambaye nni mzee wa kanisa la kimanga akizindua CD hiyo |
| Sara pamoja na Bulongo Masatu wakisoma Risala fupi mbele ya mgeni Rasmi |
| Kwaya ya kanisa la Kimanga ikiimba jukwaani |
| Ambassodor kutoka temeke wakiwa wanaimba katika uzinduzi wa vijana wezao |



0 comments:
Post a Comment