Katika kipindi cha Ongeza maarifa kinachorushwa na Runinga ya Morning Star kila Jumatano na marudio Jumapili, tumepata nafasi ya kuongelea mchango wa kupenyeza injili kupitia Blogs. Endelea kukaa jirani na Runinga yako ili upate kujifunza mengi sana ambayo yalipata kuongelewa.
Mtangazaji wako Mazara E, yupo tayari kukupa kile ambacho kwa hakika kitaleta mabadiliko katika maisha yako.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Mtangazaji wako Mazara E, yupo tayari kukupa kile ambacho kwa hakika kitaleta mabadiliko katika maisha yako.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:
Post a Comment