Temeke sda choir"Kwaya ya kanisa la wadventista wsabato Temeke tunategemea kuzindua albamu hii kama picha zinavyoonekana hapa. Hii ni rekoding iliyofanyika live,,yaani uimbaji wa papo kwa papo. Siku ya uzinduzi ni tarehe 05/07/2015 katika viwanja vya kanisa la Temeke. Ndg mpenzi na mwanachama wa kwaya ya Temeke unakaribishwa sana katika uzinduzi huo.Kusudia kuchangia kwaya ya Temeke katika uzinduzi huo ukiwa mahala popote hapa duniani kwa kununua dvd siku hiyo na kuendeleza kazi ya Mungu. Karibuni na Asanteni."
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***






0 comments:
Post a Comment