UTANGULIZI
Kanisa la Waadventista wa Sabato ulimwenguni, limeweka juma la maombi ya Uamsho na Matengenezo ili kutoa fursa kwa waumini wake kutathmini maendeleo ya ukristo wao. Hii ni hatua muhimu kabisa kwetu sisi tunaongoja kuja kwa Yesu mara ya pili. Masomo haya hayakusudii kuleta jambo jipya, ila yanakusudia kuleta uzoefu mpya. Uzoefu huu mpya utapatikana tu ikiwa kila mmoja wetu atakubali kumwachia Roho Mtakatifu maisha yake.
Msukumo wa Uamsho na Matengenezo kamwe hauwezi kuleta badiliko ikiwa tutaendelea kutumainia uzoefu wetu. Ni uzoefu wetu pamoja na Mungu unaohitajika ili kutusogeza hatua ya ukristo. Katika masomo haya yaliyopangiliwa vizuri msisitizo upo kwa kile Mungu awezacho kufanya ikiwa tutamruhusu. Ni matumaini yangu tutayatafakari kwa kina masomo haya na kwa msaada wa Mungu tutapiga hatua mbele. Lengo letu liwe ni kufanana na Yesu ili atakapokuja tusiaibike. Bwana awabariki sana.
Mchungaji Stephen Julius Letta
Katibu wa Wachungaji - STU
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:
Post a Comment