Mkufunzi toka Nairobi nchini Kenya Mrs Jullie Ochieng amesema hayo katika kuhimiza ufanisi wa kutumia mitandao ya kijamii.
Akitoa maana na umuhim wa mitandao ya kijamii,Mrs Jullie amesema mitandao hii ni muhimu sana kibiashara,kijamii na kikubwa ni kuleta watu kwa Bwana wetu na kwa ushauri tu amesema kuwa wazazi wanatakiwa kuwa karibu na watoto wanapokuwa na vifaa vya tehama hasa wakiingia intanet.
Mitandao ya kijamii inatumika sana na watu wa nchi za nje kwa matumizi mbalimbali lakini pia Afrika ikionekana kuwa nyuma kwa matumizi haya mitandao na mtandao wa pintest ukiongoza nchini Malekani kwa kuwa na wadau wengi kuliko mitandao mingine ya kijamii.

| Mrs Jullie Ochieng akijiandaa kufafanua jambo. |

| Mrs Jullie Ochieng(kushoto) akifafanua jambo na pembeni kulia ni Mr Maduhu akiwa ni mkarimani kwa kutafsiri |

0 comments:
Post a Comment