Monday, June 22, 2015

Somo la Ufunguzi wa mkutano wa TAIN 2015, limetolewa na Mch. Bina kutoka ECD likijengwa kutoka katika kitabu cha Mathayo 24. Aidha amesisitiza viongozi wa Tehama kuwa makini kwani hizi ni siku za mwisho.
"Bwana atakomesha maisha yetu siku moja na hivyo tunapaswa kutengeneza maisha yetu na sio kujiinua kwa mafanikio yetu" Amesema Mch. Bina
Pia ameongeza kusema, "Kama wanatehama wa Kanisa tunapaswa kujikita kumuinua Yesu na kwakuwa sisi ni wajumbe wa Injili ya Yesu".
MOTTO: TAIN 2015, UBUNIFU ZAIDI.
Mch. Bina katika somo la Ufunguzi Asubuhi hii

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA