Uimbaji wa nyimbo mbalimbali umeanza huku ratiba rasmi ikisubiriwa kuanza muda si mrefu...
Kaa hapo hapo tunaendelea kukuunganisha moja kwa moja kwa kinachojili huko, Mungu akubariki.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
![]() |
| Uimbaji ukiongozwa na Mch. Haruni Kikiwa |
![]() |
| Mafundi mitambo wakiweka mambo sawa |
![]() |
| Kamera nazo hazijabaki nyuma kuhakikisha ubora |
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***






0 comments:
Post a Comment