Monday, June 22, 2015

Maandalizi ya mkutano wa Wanatehama na Wanahabari kutoka sehemu mbalimbali ukiratibiwa na kanisa la Waadventista Wasabato chini ya mratibu Bw. Gideoni Msambwa ambaye ni mkuu wa Mawasiliano Union Konferensi ya Nyanda za Kaskazini mwa Tanzania upo tayari kufunguliwa tarehe 22/06 baada ya maandalizi kukamilika kama ilivyopangwa.
Mkutano huu unaotarajiwa kudumu kwa siku tatu mfululizo unajumuisha makarani, waandishi wa habari na wakuu wa Mawasiliano wote kutoka maeneo mbalimbali ndani ya kanisa la Waadventista Wasabato. 
Injilileo Blog itakuwa pamoja nawe kukuwakilisha huko katika mkutano huo na kuhakikisha unapata kila linalojili huko, na kwakuanza tazama maandalizi yalivyokuwa jioni ya Jumapili hapa mjini Arusha katika kanisa la Waadventista Wasabato Arusha Central.


****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA