Huduma ya siku hii ilipendeza sana pale wana na binti za Mungu wenyeji wa kanisa la Kanisa la Tabata sda walipopata ugeni na Muinjilisti Mwangosi akapata muda wa kuongea na wageni hao.
Muinjilist Mwangosi alisisitiza watu kuamka toka usingizi wa kiroho hasa wakati wa sasa ambapo mataifa wakifanya maamuzi ya ajabu ya uchafu mfano juu ya ndoa ya jinsia moja na hata kama kuna hofu na mashaka juu ya mambo haya lakini bado lipo tumaini kuwa Bwana ni mwokozi wa Dunia na tukimtumaini yeye hamna atayepotea.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:
Post a Comment