Ubatizo huu ulifanyika mara baada ya wito toka kwa Muinjilisti Kuhoka toka Bariadi huku akishirikiana na Muinjilisti Mwangosi toka kanisa la Kijichi.
Na ubatizo huu ulifanywa na Mchungaji Mbushi ambaye ni mchungaji wa mtaa wa Tabata.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment