Monday, June 15, 2015

KARIBU KATIKA SIKU 7 ZA MAOMBI:14/06/2015 HADI 20/06/2015
KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO KIRUMBA MWANZA LINAKUKARIBISHA KATIKA SIKU 7 ZA MAOMBI.JUMA HILI LA MAOMBI LINAONGOZWA NA MCHUNGAJI WA KIMATAIFA JONAS SINGO NA MHUBIRI MWENZA NI MWINJILISTI WA KIMATAIFA JAPHET MAGOTI.
NENO KUU: UZOEFU WA KUTOKA.
MUNGU HAKUTUUMBA ILI TUBAKI JINSI TULIVYO. KUTOKA NI KUTEMBEA KATIKA UWEPO WA BWANA. KUTOKA NI KUISHI KWA KUMTEGEMEA MUNGU. KUTOKA NI KUISHI KWA IMANI. KUTOKA NI KUFANYA KAZI KWA BIDII. KUTOKA NI KUZIFANYIA KAZI FURSA.KUTOKA NI KUMCHA MUNGU.
IWAPO UNABARIKIWA MWAMBIE NA MWENZAKO.
MUDA WA MAOMBI: ASUBUHI 12:00 HADI 12:45
MUDA WA MAOMBI:JIONI 11:00 HADI 12:30
KAMA UNABARIKIWA SEMA AMINA.

Mwinjilisti Japhet Magoti ni muhubiri mwenza wa Mchungaji Singo katika juma la maombi linaloendelea katika kanisa la Kirumba jijini Dar Es Salaam.

Mchungaji Singo ambaye ndie muhubiri
HABARI NA PICHA NA KIRUMBA SDA CHURCH FACEBOOK PAGE
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories: ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA