![]() |
| Waimbaji toka kundi la Vocapella wakiimba |
![]() |
| Kwaya ya Upendo toka Lutheran Azania Dar Es Salaam |
![]() |
| Asha Majura akiimba |
![]() |
| Waimbaji toka kikundi cha Light Bearers wakiimba |
![]() |
| Mchungaji Baraka Bhutoke akisema jambo katika kuhitimisha tamasha.. |
![]() |
| Mwimbaji Israel Mugisha |
Tamasha la Gospel Harmony lilifanyika jumapili juni 14 mwaka huu katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam huku waliohudhuria tamasha hilo wakishuhudia uimbaji mzuri toka kwa Vocapella,Light Bearers,Asha Majura,Mugisha Israel toka Kenya,Edina Matinde na Gospel Flames,Angel Magoti na Kwaya ya Upendo ya Azania.
--------------------
Mkurugenzi wa JCB Studioz ambao ndo walikuwa miongoni mwa wadhamini wa Tamasha hilo Waziri Barnabas alikaririwa na blog hii kuwa ameamua kuwekeza katika muziki wa injili ili kuleta chachu ya maendeleo ya muziki wa kiadventista hapa nchini hii ikiwa ni shukrani kwake kwa Mungu kutokana na mambo ambayo Mungu amemtendea maisha na pia kuhakikisha muziki huo unakuwa wa viwango vya kimataifa.
----------------------------------
Mmoja wa walimu wa nyimbo za Injili Felix Makachayo aliyekuwepo kwenye tamasha hilo ambalo pia lilikuwa nimedhaminiwa na mtangazaji blog,Gospel Flame Ministries,Sagati Graphics,alipongeza maandalizi ya tamasha hilo na waimbaji walivyowatendea haki watu waliokuwa wamehudhuria tamasha hilo na kuomba tamasha hilo liwe chachu kuwa na matamasha yaliyopangika na kuleta hamasa ya uimbaji nchini.
HABARI/PICHA NA MTANGAZAJI BLOG
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***











0 comments:
Post a Comment