Tuesday, June 16, 2015

Baada ya taarifa kubwa iliyoshika umma wa Watanzania hapo jana kufuatia msiba mzito wa kiongozi wa Waislamu Tanzania Mufti Issa Bin Shaaban Simba kufariki dunia.
Ratiba ya mazishi yake ni hii...
Leo saa 4 asbh, watu wote watajumuika Makao Makuu ya BAKWATA, Kinondoni Muslim kuuaga mwili wa Sheikh, na baadae Mchana mwili wa Sheikh utasafirishwa kwenda Shinyanga, atazikwa siku ya Alhamisi.
MUFTI wa Tanzania, Shaaban Issa Bin Simba, alifariki dunia jana saa 1:30 asubuhi katika Hospitali ya TMJ iliyopo Mikocheni, jijini Dar es Salaam na taarifa kutoka Makao Makuu ya Baraza la Waislam Tanzania (BAKWATA), zinaeleza kuwa, Mufti Simba alikuwa akisumbuliwa na presha, kisukari pamoja na mapafu.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jina lake Liimidiwe!!


****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA