Friday, June 19, 2015

Mchungaji Jonas Singo ambaye ndiye muhubiri akisaidiana na mwinjilisti Japhet Magoti(hayupo pichani) ni  kwenye juma hili la maombi.
MCHUNGAJI JONAS SINGO WA MAGOMENI JIJINI DAR ES SALAAM NA MWINJILISTI JAPHET MAGOTI WA KIRUMBA JIJINI MWANZA WAKO KWAAJILI YAKO.
KUTOKA 3:13-15; KUTOKA 6:1-7

Washiriki wakisikiliza
Wakati Ambapo Wana wa Israel Hawamjui MUNGU, MUNGU anajitambulisha ''MIMI NIKO AMBAYE NIKO”
• MUNGU NI CHANZO CHA NGUVU KISICHO ISHA. KUNA NGUVU KATIKA JINA LA BWANA. DAUDI ALISHINDA VITA DHIDI YA GORIATI KUPITIA CHANZO CHENYE NGUVU JINA LA BWANA na HIVYO USILITAJE JINA LA BWANA MUNGU WAKO BURE.
• MUNGU SI KIGEUGEU na kwamba ahadi zake ni za kweli. Japokuwa maombi yako yanaweza kuchelewa lakini siku moja utaelewa, utafunuliwa kwanini ucheleweshaji ulikuwepo.
• MUNGU NI WA MILELE ZOTE: Haijalishi umefukuzwa kazi, haijalishi umeugua kwa muda gani, haijalishi umepoteza ndugu zako kiasi gani, bado anatenda miujiza mingi hata leo.

YOHANA 14:12,13,14 Nanyi mkiomba kwa JINA LANGU nami nitalifanya.
YESU ndiye PASSWORD ya MBINGUNI na kwamba ile upate MHAMALA WA MBINGUNI huna budi kuweka Passward “YESU”
BWANA AKUBARIKI UNAPOPATA UZOEFU WA KUTOKA.
 Washiriki wakisikiliza.
PICHA/HABARI NA KIRUMBA SDA FACEBOOK PAGE
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA