![]() |
Kanisa la Waadventista Wasabato Kirumba la jijini Mwanza, kupitia uzoefu wa kutoka, katika siku 7 za maombi, liliandaa masomo ya watoto wadogo wakati wa likizo yaani Vocational Bible School (VBS), masomo ambayo pia yamehitimishwa kwa watoto kupewa ombi la mibaraka kutoka kwa Mwinjilisti Japhet Magoti akishirikiana na Mchungaji Jonas Singo wa kanisa la Waadventista Wasabato Magomeni jijini Dar es Salaam.
Watoto wenye umri kuanzia miaka 4 hadi 14 walihudhuria mafundisho hayo wakati wa likizo.
Katika uzoefu wa kutoka watoto wamefundishwa:-
• Maadili mema katika kipindi cha utoto hadi wanapokuwa watu wazima
• Stadi za maisha-yaani ujuzi au maarifa anayokuwanayo mtu unaomwezesha kuishi katika mazingira anamo ishi
• Masomo ya taaluma kama vile Kiswahili, Kingereza, Hisabati pamoja na Sayansi.
Jumla ya watoto 56 walihudhuria kwa juma zima ikiwa ni pamoja na watoto 10 marafiki wa madhehebu mengine ikiwemo Waislam baada ya kualikwa na wenzao.
BWANA AKUBARIKI UNAPOJIFUNZA UZOEFU WA KUTOKA KUPITIA WATOTOWatoto wenye umri kuanzia miaka 4 hadi 14 walihudhuria mafundisho hayo wakati wa likizo.
Katika uzoefu wa kutoka watoto wamefundishwa:-
• Maadili mema katika kipindi cha utoto hadi wanapokuwa watu wazima
• Stadi za maisha-yaani ujuzi au maarifa anayokuwanayo mtu unaomwezesha kuishi katika mazingira anamo ishi
• Masomo ya taaluma kama vile Kiswahili, Kingereza, Hisabati pamoja na Sayansi.
Jumla ya watoto 56 walihudhuria kwa juma zima ikiwa ni pamoja na watoto 10 marafiki wa madhehebu mengine ikiwemo Waislam baada ya kualikwa na wenzao.
HABARI/PICHA NA KIRUMBA SDA CHURCH
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:
Post a Comment