Thursday, July 09, 2015

Baada ya kurusha matangazo ya redio kwa njia redio kwa masafa mbalimbali hata nchi za jirani,kituo cha redio sasa kitaungana moja kwa moja kuanzia saa9 mchana kupitia kituo cha Morning star television,mtangazaji toka vituo hivi Prince Emmanuel ameandika hivi katika ukurasa wa Facebook
"Hatimaye Taarifa ya habari ya MORNING STAR RADIO kupitia MORNING STAR TELEVISION imeanza jana"
Prince Emmanuel mtangazaji kituo cha redio ya Morning star inayomilikiwa na kanisa la Waadventista wasabato Tanzania na hapa akisoma taarifa ya habari hapo jana.
Prince Emmanuel mtangazaji kituo cha redio ya Morning star inayomilikiwa na kanisa la Waadventista wasabato Tanzania na hapa akisoma taarifa ya habari hapo jana.

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA