Ukizungumzia makundi ya uimbaji wa nyimbo za injili nchini Tanzania yaliyopata mafanikio makubwa kwa kufahamika hadi nje ya mipaka ya Tanzania huwezi kuwasahau Acacia Singers.
injilileoTV hapa inakuletea Waimbaji wa injili toka kundi la Acacia wakiimba wimbo uitwao "KUTANO KUBWA" tukio lililofanyika katika ukumbi wa Mwenge Social...Siku hii wakiwa wanatimiza miaka 10 ya huduma yao ya uimbaji tangu kuimba nyimbo za injili..
KARIBU NA UBARIKIWE...
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:
Post a Comment