Wednesday, September 09, 2015

Mkutano huu wa uchaguzi unatarajiwa kuhitimishwa hapo kesho baada ya kazi ya uchaguzi kuwa imekamilika leo hii.
Kama kwa namna fulani ulikosa picha za matukio kutoka jijini Arusha, hapa tunakuunganishia picha za tangu maandalizi lakini pia tunakuletea matokeo kamili ya uchaguzi.

Katika Mkutano mkuu wa Union Konferensi ya Kaskazini mwa Tanzania, unaoendelea jijini Arusha kwenye kanisa la Waadventista wa Sabato Arusha Kati, leo hii tarehe 09/09/2015, viongozi wafuatao wamechaguliwa kuongoza Union hiyo kwa miaka mitano ijayo (2015 - 2020)
1. Mwenyekiti: Pr/Dr Godwin Gabriel Lekundayo
2. Katibu: David Makoye
3. Mhazini: Dickson Matiko
WAKURUGENZI:
4. Uwakili: Jeremiah Izungo
5. Vijana, Chaplensia, na Muziki: Elias Kasika
6. Elimu: Mashauri Mjema
7. Huduma ya Uchapishaji: Davis Fue
8. Huduma ya Afya: Silas Kabhele
9. Mawasiliano: Gideon Msambwa
10. Huduma za kichungaji, Adventist Mission, na Huduma ya Familia: Enock Sando
11. Shule ya Sabato na Huduma Binafsi: George Ojwang
12. Huduma za Wanawake na Watoto: Mariam Samo
Tuwaombee kwa majukumu hayo mapya
Mch. Ruguri akitoa neno la Ufunguzi
Muonekano wa Mbele
Muonekano Kutoka nyuma
Maandalizi
Timu ya Wanahabari ikifanya kazi yake
Credit: Mch. Stephen Letta
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA