Wednesday, September 09, 2015

Kutoka jijini Arusha nchini Tanzania ambapo uchaguzi wa viongozi wa kanisa la Waadventista Wasabato NTUC unafanyika, hivi punde kuna taarifa zilizotufikia na hapa kuna majina ya Viongozi waliochaguliwa.
 

VIONGOZI WAPYA WA NTUC
Mwenyekiti - Godwin Lekundayo
Katibu - Daudi Makoye
Mhazini - Dickson Matiko
Wakurugenzi wa Idara:
Huduma za Wachungaji - Enock Sando
Washiriki na Uinjilisti- George Ojwang
Wanawake, Watoto na SS - Mariam Samo
Mawasiliano - Gideon Msambwa
Uchapishaji - Davis Fue
Vijana - Elias Kasika
Elimu - Dr Mashauri Mjema
Uwakili - Jeremia Izungo
Afya - Silas Kabhele

credit: Stephen Letta.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA