Wednesday, September 09, 2015

Mwimbaji wa Kundi la Victory,Meshack amefunga ndoa Septemba 6, 2015 na Gloria Washington ambaye pia ni mwalimu wa kwaya ya watoto ya Nyambiti ya jijini humo ambapo kwaya hiyo iliimba kwenye tukio hilo ambalo pia lilihudhuriwa na waimbaji wa Victory Singers na LightBearers toka jijini Dar es salaam. Ndoa hiyo ilifungwa jana katika Kanisa la Waadventista Wa Sabato Buzuruga la jijini Mwanza. 

Waimbaji wa kikundi cha Victory wakiimba kwenye tukio hilo.
habari/picha na Mtangazaji Blog
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA