Tuesday, September 01, 2015

Chuo Kikuu cha Dodoma kinawatangazia wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na Programu Maalumu za Ualimu wa masomo ya Sayansi na Hisabati (Special Diploma in Education Programme) kwa mwaka wa masomo wa 2015/2016 kuwa wanatakiwa  kuthibitisha nia ya kujiunga na masomo. Ili kudhihilisha na kuhakiki taarifa, wanafunzi waliochaguliwa wanapaswa kutumia mfumo maalumu wa ki-elekitroniki mahali palipoandikwa bonyeza hapa. Uthibitisho ufanyike kabla ya tarehe  30/09/2015. Wasiothibitisha kujiunga hawatapokelewa chuoni.
Chuo kitafunguliwa tarehe 31/10/2015 na fomu za kujiunga zitapatikana kwenye tovuti ya chuo (www.udom.ac.tz) kabla ya tarehe ya kufungua chuo.



IMETOLEWA NA OFISI YA NAIBU MAKAMU MKUU WA CHUO - TAALUMA, UTAFITI NA USHAURI.
CHUO KIKUU DODOMA.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA