Tuesday, September 01, 2015

Inawezekana umewahi kujiuliza au kukutana na swali juu ya utume wa Paulo.
Je, katika vitabu vitakatifu kuna sehemu ambayo inaonesha Mungu akimtuma Paulo katika utume?
injilileoTV inakuletea muhadhala wa dini katika vitabu vya dini juu ya Utume wa Paulo, mdahalo uliofanyika Mombasa nchini Kenya ukiandaliwa na Idara ya Adventist Muslim Relations, AMR.
KARIBU NA UBARIKIWE... 
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA