Wednesday, September 02, 2015

Wimbo wa Haleluya, umejizolea sifa kubwa duniani hasa pale unapoimbwa katika uzuri wake.
injilileoTV, hapa inamleta kwako mwalimu Boazi Mwasambili mwalimu wa  kwaya ya TUCASA tawi la Muhimbili akiimbisha wimbo wa Haleluya kuu.
Tukio hili lilifanyika katika uzinduzi wa toleo la Video la kwaya hiyo.
KARIBU NA UBARIKIWE NA TUKIO HILI...
  ****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA