Inawezekana jina la Holy Reunion likawa geni machoni na masikioni mwako, usitie shaka kabisa kwani injilileoTV tunao hapa na tuko tayari kuwatambulisha kwako.
Ni kikundi cha uimbaji wa nyimbo za injili kinacholelewa chini ya kanisa la Waadventista Wasabato Ilala jijini Dar es Salaam.
Hapa utapata kukifahamu kwa undani, kuanzia shughuli zao hadi muimbaji mmoja mmoja.
KARIBU SANA..
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:
Post a Comment