Sunday, February 14, 2016

Mchungaji wa mtaa wa Mbalizi Mch.Haruni Kikiwa aliandika kwenye ukurasa wake wa facebook maneno haya;-
"Watu 23 Wabatizwa Mtaa wa Mbeya Mjini jioni Hii.
Katika watu hawa 23 Watu 20 wametoka kanisa la mbeya mjini, Watu 2 wametoka kanisa la Nzovwe na Mtu Mmoja ametoka kanisa la Ushindi.
Ubatizo huu umeendeshwa na Mchungaji Haruni Kikiwa Mchungaji wa Mtaa wa Mbalizi ambaye pia ndiye Mchungaji mlezi wa Mtaa wa Mbeya Mjini.
Haya yote yanafanyika katika utekelezaji wa Kauli mbiu ya kanisa inayo sema: "Utume kwanza; Niwakati wa Mavuno"
Ona matukio mbalimbali katika picha"











picha na Haruni Kikiwa
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA