Sunday, April 17, 2016

Mchungaji Joseph Mgwabi ambaye ni Mwenyekiti wa ECT aliongoza tukio hilo la kuwasha mshumaa na kuuinua juu kama ishara ya kupeleka injili kwa njia ya neno la Mungu, Zaburi 119:105 "Neno lako ni taa ya miguu yangu na mwangaza wa njia zangu"
Na kisha kukazinduliwa rasmi kwa programu za utume kwa mtaa wa Kimara unaoundwa na makanisa mawili yani Kimara na King'ongo.
Kulia ni Mchungaji Mgwabi, Mchungaji Machage, Mchungaji Izungo Mzee Mwamlangala, Kato na Will Mtae walipokuwa katika tukio la kuwasha mshumaa na kuuinua juu.



****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA