Sunday, April 17, 2016

Watu saba wamebatizwa tarehe (16/04/2016)katika Kanisa la Waadventista wa Sabato Muvwa lililopo Wilaya ya Mbeya vijijini na nimoja kati ya makanisa 14 ya mtaa wa Mbalizi.Huduma hii ilifanywa na Mchungaji Haruni Kikiwa.
Ombea kazi ya Mungu Muvwa na mtaa wa Mbalizi kwa ujumla.






 picha zote na Haruni Kikiwa
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA