Sunday, May 08, 2016

                                                         Na Mwandishi wetu
Katika siku ya ibada  jana mchana kwenye kanisa la Waadventista Wa Sabato Mikocheni A, pamoja na mambo mengine, baadhi ya viongozi wa mawasiliano toka makanisa yanayounda Konferensi ya mashariki kati mwa Tanzania(ECT) walikutana kwa maswala mbalimbali ikiwamo kupata mawasiliano na namna ya kukutana, kupeana taarifa za kiutendani hasa matangazo kwa njia ya mitandao ya kijamii na pia kusisitiza kuwepo kwenye mkutano wa wanaIT, makarani na wanabari utakaofanyika mjini Dodoma June 5-11 mwaka 2016 huku kiingilio kikiwa Tsh.20,000/= na gharama za chakula na malazi kila mjumbe atajitegemea










Picha na Jim Yonazi

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA