Mchungaji William Andrew Izungo alieleza kwamba sasa Kanisa limenunua mobile studio ambayo inaweza kurusha matangazo kutoka mahali popote. Studio hii inaweza kutumika kwa ajili ya kurusha matangazo kutoka Makanisani. Mikutano kama vile makambi, semina, na hata matamasha ya uimbaji. Wito unatolewa kutumia studio hiyo. Pia, wito unatolewa kwa makanisa kuwa na studio zao ndogo ndogo ambazo zitaongeza nguvu ya mawasiliano ameyasema hayo katika semina kwa wakuu wa mawasiliano wa makanisa yanayounda Konferensi ya Mashariki Kati mwa Tanzania (ECT) iliyofanyika hapo jana Mikocheni A SDA.
Picha/Habari na Jim Yonaz
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
![]() |
| Mchungaji Izungo katika semina |
Picha/Habari na Jim Yonaz
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***






0 comments:
Post a Comment