Wednesday, June 29, 2016

Mr Enock Nkaina ni mdau wa nyimbo za injili akijikita kwenye uimbaji, ufundishaji na utungaji wa nyimbo hizo kwani ni mtaalam wa kusomea.
Tarehe 26 Juni, 2016 Jumapili ilikuwa ni ndoa takatifua kati ya Bwana Enock Nkiana na Bi Joyce Philip Karogo.
 Ndoa ya wawili ilifungwa maeneo ya Shekinah Garden Mbezi Beach huku alifungisha ndoa hiyo alikuwa mchungaji Stephen Letta na hafla fupi ilifanyika katika Garden hiyo.
Vikundi mbalimbali vilihudumu kwa njia nyimbo kama vili;-
The Oasis, The Harmony, Harmony Brothers, Anna Ndaro, Samwel Mwazini, Zachariah Mhemedzi na kwaya chuo Kikuu.
Kwa hatua ya kufunga pingu za maisha, injilileo Blog na timu nzima inapenda kukupa hongera wewe na mke wako Bi Joyce Philip Karogo, Mungu awatangulie katika maisha yenu na huduma ya uimbaji iendelee.










****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA