Tuesday, June 28, 2016

Mtaa wa Mbalizi Katika Kufyatua Matofari ya Interrock Kwaajili ya Ujenzi wa Mabweni ya Mbeya Adventist Secondary School.
Hii nikatika Kuitikia Wito wa Conference katika Kujenga Shule zetu kwa kujitolea bila malipo Yoyote.
Mafundi wa kujitolea kutoka mtaa wa Mbalizi Baada ya Kuliona Bweni la Mbeya Adventist Primary School lililo ungua Juzi Wamemuahidi Mwenyekiti wa Conference kuwa Wata Ezeka Paa jipwa Bila malipo Yoyote.
Huu niwakati wakutumia Utaalam wetu kwa Kuwezesha Maendeleo ya Kanisa.







 Picha/Habari na Haruni Kikiwa
 

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA