Tuesday, June 28, 2016

Muimbaji na mwalimu wa nyimbo za injili toka Chuo cha Usimamizi (IFM) pia akitokea kikundi cha Vega Capella Gwirisha Mjema, ametoa wimbo wake mpya ukijulikana kwa jina la wimbo "MAISHA YANAPITA" na akiongea na injilileo Blog alisema haya juu ya wimbo wake;-
"Kwa ujumla wimbo unahusu maisha ya mwanadamu ya hapa Duniani ni mafupi hivyo kama wanadamu lazima tujiulize tufanye nini ili tuweze kuishi tena katika Mbingu mpya na nchi mpya"-alisema Gwirisha 


                                                          Gwirisha mjema
Bofya hapa kudownload kuusikiliza

Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA