Saturday, June 11, 2016

Mungu wetu ni mwema sana kwa makuu ambayo anazidi kuwatendea vijana hawa wa kanisa la Waadventista Wasabato ambao wameamua kabisa na kudhamiria kuifanya kazi ya Mungu kwa juhudi kubwa sana. Mafunzo ambayo wanayapata wawapo  MASASI ni mazuri ambapo wanakuwa wakakamavu na makini pale ambapo wanaifanya kazi ya Mungu kwa sababu kazi ya Mungu haifanywi kwa ulegevu.
Tuzidi kuwakumbuka katika Maombi sana.




Habari&Picha na http://mbeziluischurch.blogspot.com/
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA